Plural Media Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili
Daily Swahili South Africa Daily News
493 Episodes
160 – 180

Sauti Ya Cabo Delgado 20.06.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 20.Juni.2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Barua inayodaiwa Kutoka Kwa magaidi kuhusu shambolio la Mocimboa da Praia inawatia wasiwasi wanaorejea . 🔸…
20 Jun 2023 12AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 15.06.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 15.Juni.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Gavana wa Cabo Delgado atembela eneo lililoharibiwa na magaidi. 🔸 Takriban família elfu 86 zilizoahatiriwa na ugaidi…
14 Jun 2023 5PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 13.06.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 13.Juni.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa Sasa mambo muhimu. 🔸 Majeshi wa UIR na wa Rwanda waliitwa kuzima fujo Huko Mocimboa da praia. 🔸 Ruby kubwa…
13 Jun 2023 12AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 08.06.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 08,Juni,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa Sasa mambo muhimu. 🔸 Meneja wa usalama wa total Energies ametembela Cabo Delgado. 🔸 Wanainchi wameokota miili katika eneo lá…
8 Jun 2023 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 06.06.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 06.Juni.2023.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Majeshi wanashutumiwa kuwanyanyasa raia katika Kijiji Cha Mocimboa da Praia. 🔸 CDD wanataka vijana washiriki…
6 Jun 2023 2AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 01.06.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado Cabo Tarehe 01,Juni,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Maleiane anatoa wito Kwa wafanyabiashara Huko Cabo Delgado kuchukua fursa ya kuchimba gesi. 🔸 Meli itwayo…
1 Jun 2023 1AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 30.05.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado, tarehe 30,Mei,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 kuondolewa Kwa kampuni ya Pluxus mji Pemba kunawaweka wakulima 50.000 Huko Cabo Delgado hatarini 🔸…
30 May 2023 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 25.05.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 25.Mei.2023, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 TotalEnergies imetoa ripoti juu tá Hali ya kibinadamu Huko Cabo Delgado. 🔸 Waasi wamiwateka nyara watu…
25 May 2023 1AM 8 min

Sauti Ya Cabo Delgado 23.05.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 23.Mei.2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Kundi la askari linajarinu kushambulia Kijiji cha chai. 🔸 Shule zinafanya kazi Huko Cabo Delgado chini ya…
23 May 2023 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 18.05.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 18,Mei,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Kambi ya vikosi vya Africa kusini vimishambuliwa na magaidi. 🔸 Raia amepigwa risasi na majeshi ya Rwanda…
18 May 2023 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 16.05.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 16,Mei 2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. Wazir wa mambo ya Ndani amesisitiza kuwa mpaka wa na moto unafunguliwa mwaka huu. 🔸 Kituo cha…
16 May 2023 1AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 11.05.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 11,2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Madai ya kutoka Wanajeshi wilaya ya Mocimba da praia kunawatia wasiwasi wafanyabiashara. 🔸 Kikosi cha pili…
11 May 2023 12AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 09.05.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 09 Mei 2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Magaidi sita wameuawa katika wilaya ya Muidumbe. 🔸 Mamlaka ya wilaya ya Mueda…
9 May 2023 12AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 04.05.2023

Habari gani, karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 04,Mei 2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Wanajeshi watano wamewaua katika shambulio la kigaidi huko Muidumbe. 🔸 Wafanyakazi Watatu wa ugaidi wamekamatwa…
4 May 2023 12AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 02.05.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 02 Mei 2023.sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 IESE imechapisha wasifu wa waasi huko Cabo Delgado. 🔸 Syrah inaonyesha kuwa usalama umeimariswa katika…
2 May 2023 1AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 27.04.2023

Habar gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 27, April 2023, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwasasa mambo muhimu. 🔸 Umoja wa ulaya wamewawekeya vikwazo watu binafsi kwa kuhusishwa na ugaidi na…
27 Apr 2023 2AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 25.04.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado tarehe 25, April 2023, Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Harakati za ajabu zinarekodiwa kusini wilaya ya Ancuabe. 🔸 Kuna…
25 Apr 2023 12AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 20.04.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 20, April 2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Media Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. 🔸 Serekali ya Mocimboa da Praia yaamuru wafanyikazi warudishe Kwa lazima. 🔸 África kusini yaongeza uwepo wa askari…
20 Apr 2023 12AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 18.04.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo ya sauti ya Cabo Delgado tarehe 18, Aprili,2023,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Muidumbe kumesajiliwa mashambulizi matatu ya kigaidi katika muda wa chini ya wiki…
17 Apr 2023 11PM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 13.04.2023

Habari gani,karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado tarehe 13 April 2023,Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari ya Cabo Delgado inayotengenezwa na Plural Média Kwa kushirikiana na Mradi wa Cabo Ligado. Kwa sasa mambo muhimu. 🔸 Msumbiji inapaswa kutoa mafunzo Kwa haraka Kwa watalamu wakulinda uzalishaji wa…
13 Apr 2023 1AM 7 min
160 – 180