Plural Media Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili

Sauti ya Cabo Delgado — Voz de Cabo Delgado em Kiswahili
Daily Swahili South Africa Daily News
498 Episodes
280 – 300

Sauti Ya Cabo Delgado 03.05.2022

Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu Jimbo la Cabo Delgado Jumanne hii mei,03,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Askofu wa Pemba aomba kutohasahau waliohama huko Cabo Delgado. 🔸Uhamiaji uko Cabo Delgado unalalamika ukosefu njia za kisiasa. 🔸Uganda inapatikana kusaidia kupigana ugaidi uko Cabo Delgado. Endeleya kupata…
3 May 2022 9AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 28.04.2022

Karibu sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado Halamisi hi April 28,2022. 🔸Tafiti zinaelekeza kwenye mazungumuzo za washambuliaji ili kukomesha ugaidi. 🔸Wausi 14 wauawa wilayani Nangade. 🔸CAF inatowa Dola za Merekani 500.000 kuwasaidia watu waliokimbia makazi yao huko Cabo Delgado. Endelea kupata habari…
28 Apr 2022 5AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 26.01.2022

Karibu sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza záidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado Jumanne hi Abril 26,2022 🔸ExxonMobil itaingia tu kwenye uchunguzi wa gesi baada yaTotal kurejea ardhini. 🔸Wafanyikazi wanalalamika kwa ukosefu wa huduma huko Mocimboa da Praia. 🔸Vijana wanataka kukomeshwa kwa mashambulizi ya kigaidi ya macomia. Endelea…
26 Apr 2022 8AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 21.04.2022

Karibu sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado Halamisi hi April,21,2022. 🔸Wanajeshi wa Rwanda wanahonekana kufanya kazi eneo la macomia,eneo la misheni ya SADC. 🔸Hali ya usalama inazidi kuimarika,anateteya Wazir wa ulinzi wa taifa. 🔸CDD inataka mazungumuzo na wachambuzi Uruma wa ruby huko…
21 Apr 2022 8AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 19.04.2022

Karibu sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Jumanne hi Abril,19,2022. 🔸Watu waliokimbia makazi yao wanaomba usaidizi wa biashara katika kituo cha makazi mapya huko Cabo Delgado. 🔸Magaidi warudi kuteka nyara na kuua huko Nangade. 🔸Fátima mimbire arifa kwa zaidi hatua za usalama…
19 Apr 2022 9AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado 14.04.2022

Karibu Sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado Halamisi hi April 14,2022. 🔸Hali ya usalama inazidi kuwa mbaya wilayani Nangade. 🔸Idade ya vifo vilivyosababiswa na magaidi huko Cabo Delgado imepunguzwa kwa nusu. 🔸Jeshi lá serekali ya kisasanga watumishi wa umma kurudi kazini. Endelea…
14 Apr 2022 10AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 12.04.2022

Karibu sauti ya Cabo Delgado mahali ambapo unawza kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Jumanne hi,April 12,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Graça Machal anatetea mipango jumuishi huko Cabo Delgado. 🔸Kijana huko Cabo Delgado akiwa na mtoto mdogo wa miezi 6 ambaye alibakwa na magaidi. 🔸Rais wa MDM anasema kuwa…
12 Apr 2022 1PM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 08.04.2022

Karibu kwenye sauti yá Cabo Delgado ambapo unaweza kupata kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Ijuma hi Abril 08 2022. 🔸Waasi wa Cabo Delgado waua wanajeshi watatu katika wilaya ya Nangade. 🔸MISA inahohi kutojali kwa mamlaka kuhusu kutoweka kwa mwanahabari Ibraimo Mbaruco. 🔸Madaktari wa Cuba huenda wakarejea Cabo Delgado…
8 Apr 2022 7AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 05.04.2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kupata kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado jumane hi Abril,5,2022. 🔸Majeshi wananaotuhumiwa kuwaua wavuvi katika wilaya ya Palma. 🔸SADC lazima iimarisha misheni Yake uko Cabo Delgado wachambuzi wanasema. 🔸Kurudishwa kwa wafanyakazi kwa wilaya kuathiriwa na ugaidi sio lazima,anasema waziri wa utawala…
5 Apr 2022 2AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 31.03.2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kupata kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado halamisi hi macho 31,03,2022. 🔸Katibu mkuu wa Mocimboa da praia anaomba kurejeshwa kwa haraka kwa watumishi wa umma. 🔸Wanawake na watoto mateka zaidi wanawasili katika wilaya ya Macomia. 🔸Ujumbe wa SAMIM unasema kuwa uliua…
31 Mar 2022 7AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 29.03.2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado Jumane hi Machi 29,2022. 🔸Majeshi wanaendelea kutafuta kisiwa cha matemo baada ya chambulio hilo. 🔸Milioni ya risasi inawalazimu wanakijiji wa Macomia kulala msutuni. 🔸OIM yasajili ongezeko la asilimia la idadi waliokimbia makazi yao. Endelea kupata…
29 Mar 2022 8AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 24.03.2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado ijuma hi machi,25,2022. 🔸Magaidi huwachilia mateka katika uso wa mifuko ya njaa kwenye ngome zao. 🔸Nangade anazidi kuachwa kutokana na ukosefo wa usalama. 🔸PMA inahitaji Dola milioni 17 kwa muezi kwa ajili ya mgogoro wa…
25 Mar 2022 9AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 22.03.2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado jumane hi machi,22,2022. 🔸Ukiukaji wa haki za binadamu umeenea uko Cabo Delgado. 🔸Police yatangaza kuuawa kwa magaidi kumi kwenye kisiwa cha matemo. 🔸Mamlaka zinaripoti kupunguzwa kwa msaada wa chakula kwa watu waliokimbia makazi yao huko…
22 Mar 2022 8AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 18.03.2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado ijuma hi machi,18,2022 tunayo mambo muhimo yafuatoyo. 🔸Magaidi washambulia kisiwa cha matemo wilayani ibo 🔸BAD imeidhinisha Dola za Merkani milioni 1.4 kusaidia wakimbizi na watu waliokimbia makazi yao . 🔸Bandari ya Mocimboa da Praia ilyotembelewa…
18 Mar 2022 4AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 15.03.2022

Karibu kwenye saiti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delegado Jumane hi machi,15,2022 tunayo mambo muhimo yafuatayo. 🔸Watu waliokimbia vita makazi yao wanadai kurejea katika kijiji cha Mocimboa da Praia 🔸ripot ya OMR imepata kupungua kwa uwezo wa kuajiri makundi yenye silaha. 🔸Uzarishaji w Gesi…
15 Mar 2022 2AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 10.03.2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo lá Cabo Delgado alhamisi hi Machi 10,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Mashambulizi ya silaha yameshababisha vifo vya watu 15 huko Nangade. 🔸Mawakala wa UIR wamenpiga risasi mfanyabiashara huko Macomia 🔸OIM husaidia katika uundaji wa mabaraza ya usalama ya…
10 Mar 2022 2AM 7 min

Sauti Ya Cabo Delgado 08.03.2022

Karibu kwenye Saunt ya Cabo Delgado ambapo unaweza kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado Jumane hi Machi 08,2022 tunayo mambo muhimu yafuatayo. 🔸Kutofanya kazi kikosi hicho chá pamoja kunawaleta magaidi karibu na karibu na makao makuu ya Nangade. 🔸Serekali yaidhinisha ya kukandamiza na kupambana na ugaidi. 🔸Urejeshaji wa maeneo…
8 Mar 2022 12AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 03.03.2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado Alhamisi machi 03,2022. Katika jarida ya leo. 🔸FAO inataka kuboresha lisha ya família zilizokimbia makazi huko Cabo Delgado. 🔸Tume ku ya Malawi ugaidi sio tu hatar kwa msumbiji. 🔸Mkuu wa wa SAMIM atoa wito kwa uwekezaji katika Cabo Delgado. 🔸Raia sabá wauawa katika mashambulizi…
3 Mar 2022 8AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado 24.02.2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ya Alhamisi fabruari 24,2022. Katika mada ya Leo. 🔸Waliorejea baada ya mashambulizi huko Mecula wanalalamika kuhusu nyenzo zisizotosha za ujenzi. 🔸Wanawake huripoti unyanyasaji wa kijensia katika wadhifa usimamizi wa Namialo. 🔸Maelfu ya watu wamezuiliwa Nangade kutokana na mashambulizi hayo. Endelea kupata habari za mkoa…
24 Feb 2022 10AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado 22.02.2022

Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ya Jumaene fabruari 22.2022. Katika mada ya Leo. 🔸Silaha zilizokamatwa njiani kuelekea Nampula. 🔸Magaidi 7 zaidi wauawa kiganjani. 🔸Watu waliokimbia makazi yao bado wanatafuta wanafamilia waliotekwa na magaidi. 🔸Mashambulizi mapya yamerecodia huko Nangade. Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu…
22 Feb 2022 6AM 6 min
280 – 300