Sauti Ya Cabo Delgado 05.04.2022

Loading player...
Karibu kwenye sauti ya Cabo Delgado ambapo unaweza kupata kujifunza zaidi kuhusu jimbo la Cabo Delgado jumane hi Abril,5,2022.

🔸Majeshi wananaotuhumiwa kuwaua wavuvi katika wilaya ya Palma.

🔸SADC lazima iimarisha misheni Yake uko Cabo Delgado wachambuzi wanasema.

🔸Kurudishwa kwa wafanyakazi kwa wilaya kuathiriwa na ugaidi sio lazima,anasema waziri wa utawala wa inch

Endelea kupata habari za Cabo Delgado kupitia kurasa zetu mpya za avoz.org ou kutoka kwa kurasa zetu za Facebook,chenel,ya telgram na program na yoyote ya podcast.

Pokeya habari za kila siku kwenye Whatssap kwa kutuma ujumbe kwenda +258843285766 kisha uchague lugha,yako,Emakwa,Shimakonde Kimuani au Kishuahili.

Plural media habari kwa lugha yako.
5 Apr 2022 2AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 27. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 27.09.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Magaidi waua watu saba wilaya ya Balama 🔸 Mamlaka zinashuku zaidi ya Milioni 7 za dola zilitumika kufadili ugaidi 🔸 Magaidi wameingia…
27 Sep 3PM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 19. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 19.09.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Vikosi via Mozambique na Rwanda vyaanzisha operasheni ya kijeshi katika pwani ya Macomia 🔸 Magaidi washambulia kijiji cha Messalo wilaya ya Balama 🔸…
19 Sep 12PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 12. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 12.09.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Vichwa vya habari: 🔸 Caritas inalamika kuhusu ukosefu wa msaada kwa watu waliokimbia makazi yao Huko Cabo Delgado 🔸 Jeshi lá wanamaji limeripotiwa kuwaua watu 16…
13 Sep 12PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 29. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 29.08.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Jeneral Staff anafafanua kisa cha wanajeshi 300 walioachishwa kazi Huko Cabo Delgado 🔸 Raisi wa Jamhuri anafafanua makubaliano ya usalma na Rwanda 🔸…
31 Aug 5AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 22. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 22.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. 🔸 Wakazi wa Quissanga wanalamika ukosefu wa huduma za Kimising 🔸 Gavana Anawashutumu waasi kwa kutumia watoto kama ngao kwa magaidi katika mashambulizi ya silaha 🔸…
22 Aug 5AM 5 min