Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 27. 09. 2025
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 27.09.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media.
Vichwa vya habari:
๐ธ Magaidi waua watu saba wilaya ya Balama
๐ธ Mamlaka zinashuku zaidi ya Milioni 7 za dola zilitumika kufadili ugaidi
๐ธ Magaidi wameingia tena Nangade.
Unaweza kusikiliza toleo hili katika luga uipendayo kireno, kimakuwa, kimakonde na kimwani.
Tumefika mwisho wa toleo hili la Avoz.org pata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegrama na programa yoyote ya podcast.