Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 19. 09. 2025
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 19.09.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media.
Vichwa vya habari:
🔸 Vikosi via Mozambique na Rwanda vyaanzisha operasheni ya kijeshi katika pwani ya Macomia
🔸 Magaidi washambulia kijiji cha Messalo wilaya ya Balama
🔸 Gavana wa Cabo Delgado atoa wito wa utulivo miongoni mwa watu wa Palma.
Unaweza kusikiliza toleo hili katika luga uipendayo kireno, kimakuwa, kimakonde na kimwani