Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 29. 08. 2025
Loading player...
Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 29.08.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media.
Vichwa vya habari:
🔸 Jeneral Staff anafafanua kisa cha wanajeshi 300 walioachishwa kazi Huko Cabo Delgado
🔸 Raisi wa Jamhuri anafafanua makubaliano ya usalma na Rwanda
🔸 Polisi ya Jamhuri ya Mozambique wanatapili watu wanaotaka kujiunga na Jeshi lá Polisi kisiwani Pemba.
Unaweza kusikiliza toleo hili katika luga uipendayo kireno, kimakuwa, kimakonde na kimwani.
Tumefika mwisho wa toleo hili la Avoz.org pata habari za nkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegrama na programa yoyote ya podcast.