Salama jamah piya. Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tarehe 15.08.2025. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média Viswa vikulu vya habari ndivi: 🔸 Wanu watatu wafariki dunia baada ya tokeyo la vita mbala bala 380 🔸 Wananchi weleza tokeyo lengine la vita Cabo Delgado…
Salama jamah piya. Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tarehe 08.08.2025. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média Viswa vikulu vya habari ndivi: 🔸 Mashababi watenda tokeyo mu dostritu ya Palma 🔸 Matokeyo a Mashababi apunguka mu distritu ya Chiúre 🔸 Sirikali ainamba kuwejiwa wanani…
Salama jamah piya. Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tarehe 01.08.2025. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média Viswa vikulu vya habari ndivi: 🔸 Wananchi wankuridhika kwa kuwepo ulinzi mbala bala Macomia-Oasse 🔸 Mashababi wadai kutenda vita Chiúre 🔸 ma namparama wakutenda vita na mashababi…
Salama jamah piya. Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tarehe 25.07.2025. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média Viswa vikulu vya habari ndivi: 🔸 Mashababi waripeleka Mocimboa 🔸 Mashabai watenda tokeyo la vita mu distritu ya Ancuabe 🔸 Sirikali ya Cabo Delgado itangaza kuludiliwa kwa…
Salama jamah piya. Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tarehe 21.07.2025. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média Viswa vikulu vya habari ndivi: 🔸 Yankwengeza hali ya kufungiwa bala bala na mashababi wankulimbilila sini ya provínciya 🔸 Nkukuta upakile tiba za kutibiwa uluere wa poliyu…
iono.fm may request cookies to be stored on our device. We use cookies to understand how you interact with us, to enrich and personalise your experience, to enable social media functionality and to provide more relevant advertising. Using the sections below you can customise which cookies we're allowed to store. Note that blocking some types of cookies may impact your experience.