Sauti ya Cabo Delgado — 5.5.2021
Loading player...
Toleo la Sauti ya Cabo Delgado la tarehe 5 Mei, 2021 inawaletea habari ya mkoa wa Cabo Delgado, iliyotengenezwa na Plural Média, kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Vichwa vya habari:
• Watu 20,000 wanahitaji msaada Quitunda katika wilaya ya Palma.
• Watu 21 walikamatwa wakielekea Cabo Delgado kwa ahadi ya ajira.
• Jumuiya ya Ulaya iko tayari kusaidia Msumbiji katika kupambana na ugaidi.
• Shirika la Caritas la Dayosisi ya Pemba itaacha kuhudumia kambi ya muda cha wakimbizi huko Pemba.
Ili kuanza kupokea kwenye WhatsApp ama Telegram, tuma jina na jina la lugha unayotaka kusikia, kati ya Kireno, Emakwa, Shimakonde, Kimuane au Kiswahili kwa +258 84 32 85 766.
Siku chache zijazo, zitapatikana kwenye Facebook na katika app ya Plural Média itayozinduliwa hivi punde.