Sauti ya Cabo Delgado — 10.5.2021
Loading player...
Habari yako nsikilizaji, karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado la mei 10, 2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyotolewa kwa nkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Média na kushitiana na nradi wa Cabo Ligado.
Sasa mada za habari.
🔸Pambana Na ugaidi huko Cabo Delgado America yatangaza kumaliza mafunzo ya kwanza kwa majeshi wa maji uko msumbiji
🔸Huko macomia waasi wanashambulia vyombo Na kumpiga risasi mugambo wa eneo hilo
🔸Watu waliohamisha katika wilaya ya chiure Wadai Masada wa chakula usiofa
Habari kamili.
Huu ulikuwa muhtassari wa hafla kuhusu nkoa wa Cabo Delgado.
Unaweza kusikiliza programo yet kwenye vikuni vyetu vya WhatsApp na telegram, na hivi karibu no kwenye Facebook Na programo za podcast, pamoja Na Plural Média.
Kwanza kupokea kwenye whatsapp tuma tu ujumbe kwa luga unayoitaka kusikia +258843285766 kati ya kireno, emakwa, shimakonde, kimuane au kiswahili.