Sauti ya Cabo Delgado — 12.5.2021

Loading player...
Habari yako ndugu nsikilizaji, karibu kwenye toleo la sauti ya Cabo Delgado la mei 12 muaka 2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyotolewa kwa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na plural media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado.

Kwa sasa mada za habari.

🔸Walimu wanakata kurudi wilayani macomia kwa sababu ya mazingira duni
🔸Ripoti ya Cabo Ligado ya kila wiki iliitwa kutoka tarehe 3 hadi 9 mei.

Basi huu ni muisho wa tarifa ya habari kutoka Plural Média.

Endelea ukipata habari kutoka mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram, Na program yoyote ya pod cast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe kwa +258843285766 kisha uchague luga luga yako kati ya kireno, emakwa, shimakonde, kimuane au kishuili.

Plural Média-Taharifa ya habar kwa luga yako.
12 May 2021 11AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 27. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 27.09.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Magaidi waua watu saba wilaya ya Balama 🔸 Mamlaka zinashuku zaidi ya Milioni 7 za dola zilitumika kufadili ugaidi 🔸 Magaidi wameingia…
27 Sep 3PM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 19. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 19.09.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Vikosi via Mozambique na Rwanda vyaanzisha operasheni ya kijeshi katika pwani ya Macomia 🔸 Magaidi washambulia kijiji cha Messalo wilaya ya Balama 🔸…
19 Sep 12PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 12. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 12.09.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Vichwa vya habari: 🔸 Caritas inalamika kuhusu ukosefu wa msaada kwa watu waliokimbia makazi yao Huko Cabo Delgado 🔸 Jeshi lá wanamaji limeripotiwa kuwaua watu 16…
13 Sep 12PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 29. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 29.08.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Jeneral Staff anafafanua kisa cha wanajeshi 300 walioachishwa kazi Huko Cabo Delgado 🔸 Raisi wa Jamhuri anafafanua makubaliano ya usalma na Rwanda 🔸…
31 Aug 5AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 22. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 22.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. 🔸 Wakazi wa Quissanga wanalamika ukosefu wa huduma za Kimising 🔸 Gavana Anawashutumu waasi kwa kutumia watoto kama ngao kwa magaidi katika mashambulizi ya silaha 🔸…
22 Aug 5AM 5 min