Sauti ya Cabo Delgado — 14.5.2021
Loading player...
Habari yako ndugu nsikilizaji, karibu kwenye toleo la Sauti ya Cabo Delgado la mei 14, 2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyotolewa kwa mkoa wa Cabo Delga iliyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni mada za habari.
🔸Cabo Delgado inapitia Shida ya kibinadamu inayopuuzwa linasema shirika la Medico Sem Fronteiras
🔸Magaidi wa Cabo Delgado hawawakilishi waislamu, anasema shehee Saide Abibo
🔸Hali ya usalama kuziwiya mapokezi ya nsharah katika wilaya ya Nangade
🔸Waislamu hukoPemba wanasherekeia Eid fitr wakati wa uchungu
Endelea kupata habari kutoka mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram Na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe number +258843285766, kisha uchague lugha yako kati ya kireno, Emakwa, shimakonde, kimuane au kiswahili.
Plural Media-habari kwa lugha yako.