Sauti ya Cabo Delgado — 24.5.2021

Loading player...
Habari yako ndugu Nsikilizaji, Karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya mei 24, 2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado, iliyotengenezwa na Plural Media ,kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni Mahada za habari.

🔸Magaidi waua watu tano katika wilaya ya Palma
🔸Jesus ilishirikiana Na vizuizi kupata wilaya zilizochukuli Na magaidi
🔸Vifaa ya shule huwafikia watoto wilaya ya montepuez

Huu ni muisho wa tarifa ya habari.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram, Na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe number +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno, Emakwa, shimakonde, kimuane au kiswahili.

Plural Media habari kwa lugha yako.
24 May 2021 7AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 27. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 27.09.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Magaidi waua watu saba wilaya ya Balama 🔸 Mamlaka zinashuku zaidi ya Milioni 7 za dola zilitumika kufadili ugaidi 🔸 Magaidi wameingia…
27 Sep 3PM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 19. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 19.09.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Vikosi via Mozambique na Rwanda vyaanzisha operasheni ya kijeshi katika pwani ya Macomia 🔸 Magaidi washambulia kijiji cha Messalo wilaya ya Balama 🔸…
19 Sep 12PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 12. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 12.09.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Vichwa vya habari: 🔸 Caritas inalamika kuhusu ukosefu wa msaada kwa watu waliokimbia makazi yao Huko Cabo Delgado 🔸 Jeshi lá wanamaji limeripotiwa kuwaua watu 16…
13 Sep 12PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 29. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 29.08.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Jeneral Staff anafafanua kisa cha wanajeshi 300 walioachishwa kazi Huko Cabo Delgado 🔸 Raisi wa Jamhuri anafafanua makubaliano ya usalma na Rwanda 🔸…
31 Aug 5AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 22. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 22.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. 🔸 Wakazi wa Quissanga wanalamika ukosefu wa huduma za Kimising 🔸 Gavana Anawashutumu waasi kwa kutumia watoto kama ngao kwa magaidi katika mashambulizi ya silaha 🔸…
22 Aug 5AM 5 min