Sauti ya Cabo Delgado -- 26.5.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya mei 26,2021, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado iliyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni mada za habari:
🔸Familia 270 wasiriwa wa ugaidi watakuwa Na nymba zao katika wilaya ya mecufe
🔸Tume ya Africa za Haki za binadamu inatowa wito kwa wa msumbiji kupokea watu waliohamisha kutoka Cabo Delgado
🔸Watu waliohamisha wanasema wanashtakiwa kwa kupata ardhi katika wilaya ya montepuez.
Tume ya Haki za binadamu Africa inataka kutokataliwa kwa wakimbizi kutoka Cabo Delgado Na nchi jirani
Huu ni muisho wa tarifa ya habari.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram Na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno ,,Emakwa shimakonde, kimuane au kiswahili.
Plural media habari kwa lugha yako.