Sauti ya Cabo Delgado β€” 27.5.2021

Loading player...
Habari yako,karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya mei 27,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana Na Mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni Mahada za habari:

πŸ”Ά Magaidi wanawakamata samaki huko macomia
πŸ”Ά Gavana wa Cabo Delgado anakanusha kuwa vijana wanajiunga Na ugaidi kwa sababu ya ukosefo wa ajira
πŸ”Ά Ripoti ya kila wiki inapatikana kutoka 10 hadi 23,2021 ya mradi wa Cabo Ligado wa ACLED

Huu ni muisho wa tarifa ya habari.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram Na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766.
Kisha uchague lugha yako kati ya kireno, Emakwa, shimakonde, kimuane au kiswahili.

Plural media habari kwa lugha yako.
27 May 2021 8AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 27. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 27.09.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: πŸ”Έ Magaidi waua watu saba wilaya ya Balama πŸ”Έ Mamlaka zinashuku zaidi ya Milioni 7 za dola zilitumika kufadili ugaidi πŸ”Έ Magaidi wameingia…
27 Sep 3PM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 19. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 19.09.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: πŸ”Έ Vikosi via Mozambique na Rwanda vyaanzisha operasheni ya kijeshi katika pwani ya Macomia πŸ”Έ Magaidi washambulia kijiji cha Messalo wilaya ya Balama πŸ”Έβ€¦
19 Sep 12PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 12. 09. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 12.09.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media Vichwa vya habari: πŸ”Έ Caritas inalamika kuhusu ukosefu wa msaada kwa watu waliokimbia makazi yao Huko Cabo Delgado πŸ”Έ Jeshi lΓ‘ wanamaji limeripotiwa kuwaua watu 16…
13 Sep 12PM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 29. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 29.08.2025.Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: πŸ”Έ Jeneral Staff anafafanua kisa cha wanajeshi 300 walioachishwa kazi Huko Cabo Delgado πŸ”Έ Raisi wa Jamhuri anafafanua makubaliano ya usalma na Rwanda πŸ”Έβ€¦
31 Aug 5AM 4 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 22. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 22.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. πŸ”Έ Wakazi wa Quissanga wanalamika ukosefu wa huduma za Kimising πŸ”Έ Gavana Anawashutumu waasi kwa kutumia watoto kama ngao kwa magaidi katika mashambulizi ya silaha πŸ”Έβ€¦
22 Aug 5AM 5 min