Sauti ya Cabo Delgado, 01.06.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya juni,01,2021 Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na Mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Wakati wa ugaidi police yani (PRM) wamewapa ruhusa wanachama 53 uko Cabo Delgado.
🔸Wasiri wa ulinzi wa ureno anatabili kuwa jumuiya ya ulaya itaidhinisha ujumbe kwenda msumbiji mnamo juni.
🔸Mtandao wa tahadhari Na njaa unatabiri kushuka kwa Msaada wa chakula kwa watu waliokimbia makazi yao.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram Na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno, Emakwa, shimakonde, kimuane au kiswahili.
Plural media habari kwa lugha yako.