Sauti Ya Cabo Delgado 07.06.2021
Loading player...
Habari yako karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya juni 07,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na Mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Antonio Supeta ameteuliua jimbo la Cabo Delgado.
🔸Tanzania inataka hifadhi kwa karibu watu 4.000 wa msumbiji.
🔸Makabiliano mapya kati ya vikosi vya ulinzi Na magaidi waliosajiliwa huku macomia.
🔸Msumbiji inazidisha uhusiano Na Tanzania Na Zimbabwe Na inagusa ugaidi uko Cabo Delgado.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook, telegram Na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno, Emakwa, shimakonde, kimuane au kiswahili.
Plural media habari kwa lugha yako.