Sauti Ya Cabo Delgado 14.06.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya juni 14,2021sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Amioneshawa katibu wa selekali wa jimbo la Cabo Delgado.
🔸Inawezekana kufanya mazungumzo Na magaidi wanaomshambulia Cabo Delgado.
🔸Wizara ya ulinzi inakanusha matumizi ya mabomu ya ardhini katika Vita dhidi ya magaidi huko Cabo Delgado.
🔸Umoja wa ulaya ilitoa euro milioni 15 kwa Msaada wa kibinadamu huko Cabo Delgado.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural media habari kwa lugha yako