Sauti Ya Cabo Delgado 16.06.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya juni,16,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Msaada kwa waliokimbia lazima ujumuishe familia zinazowakaribisha,anatetea msimamizi wa dayosisi ya pemba.
🔸ribu watu 10,000 wamerudisha kutoka Tanzania kwenda msumbiji.
🔸Idadi ya watu wa tandanyangue wanauliza kufunguliwa kwa barabara ya Quissanga kwenda mji wa pemba.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno, Emakwa, shimakonde, kimuane au kiswahili.
Plural media habari kwa lugha yako.