Sauti Ya Cabo Delgado 17.06.2021
Loading player...
Habari yako karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya juni 17,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸PMA inarejelea Msaada wake kwa wale waliohamisha kutoka mashambulizi ya kigaidi.
🔸Shida za barabara katika mkoa wa Cabo Delgado zinazidi kuwa mbaya.
🔸Wazir wa ulinzi wa kitaifa anasema ukosefo wa ulinzi unadhibitwa huko Cabo Delgado.
🔸Walikamata watu watano wanahoshukiwa kuwa magaidi huko Macomia wakiwa njiani kuelekea pemba.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno, Emakwa, shimakonde ,kimuane au kiswahili.
Plural media habari kwa lugha yako.