Sauti Ya Cabo Delgado 18.06.2021

Loading player...
Habari yako karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya juni 18,2021sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado.

Zifuatazo ni Mahada za habari.

🔸Cabo Ligado juni 07_13 ripoti inaoyesha gharama ya kiuchumi za mashambulio ya Cabo Delgado.

🔸Gavana wa Cabo Delgado anatoa wito wa kuwa macho Na mshikamano Na watu Na watu waliokimbia makazi yao huko mueda.

🔸Kijiji cha makazi mapya cha Quitunda quinafufuka kwa kupigwa risasi alhamisi iliyopita.

Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.

Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno ,Emakwa, shimakonde, kimuane au kiswahili.

Plural media habari kwa lugha yako.
18 Jun 2021 9AM Swahili South Africa Daily News

Other recent episodes

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 22. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 22.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. 🔸 Wakazi wa Quissanga wanalamika ukosefu wa huduma za Kimising 🔸 Gavana Anawashutumu waasi kwa kutumia watoto kama ngao kwa magaidi katika mashambulizi ya silaha 🔸…
22 Aug 5AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 15. 08. 2025

Habari gani,karibu kwenye toleo ya Sauti ya Cabo Delgado terehe 15.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya Habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Watu wameuawa katika shambulio lá waasi kwenye Bárabara 380 Huko Cabo Delgado 🔸 Wakazi wanaripoti uporaji mpya wa kijiji nkoa wa Cabo Delgado…
15 Aug 7AM 5 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 08. 08. 2025

Habari gani, karibu kwenye toleo ya saunti ya Cabo Delgado tarehe 08.08.2025. Sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media Vichwa vya habari: 🔸 Waasi wachambulia Kijiji Cha Palma. 🔸 Mashambulizi ya waasi yapungua wilaya ya chiure 🔸 Serikali haijui wasifu wa waasi a anasema ntafiti…
8 Aug 11AM 6 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 01. 08. 2025

Habar gani, karibu kwenye toleo ya saunti ya Cabo Delgado tarehe, 01.08.2025.Sauty ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari inayotengenezwa na Plural Media. Vichwa vya habari: 🔸 Wakazi wameridhiswa kwa kurejeshwa kwa usindikizaji wa kijeshi sehemu ya Macomia Oasse. 🔸 Islamic state wameshambulia chiure 🔸 Namparama kuingia katika hatua ya…
1 Aug 4AM 8 min

Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 25. 07. 2025

Salama jamah piya. Karibuni nafassi ya Shauti ya Cabo Delgado, tarehe 25.07.2025. Shauti ya Cabo Delgado nafassi ya habari zitunguiwa na Plural Média Viswa vikulu vya habari ndivi: 🔸 Mashababi waripeleka Mocimboa 🔸 Mashabai watenda tokeyo la vita mu distritu ya Ancuabe 🔸 Sirikali ya Cabo Delgado itangaza kuludiliwa kwa…
25 Jul 3PM 5 min