Sauti Ya Cabo Delgado 23.06.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya June 22,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado.
🔸SADC inakutana jumatano hii huko Maputo kujadili mashambulio ya Cabo Delgado.
🔸Suluhisho la Vita huko Cabo Delgado linajumuisha kuunda ajira anatetea Joseph Hanlon.
🔸Save the chidrene wanaojali kuhusu kuongeza kwa idade ya watoto wahanga wa ugaidi.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno, Emakwa, shimakonde,kimuane au kiswahili.
Plural media habari kwa lugha yako.