Sauti Ya Cabo Delgado 28.06.2021
Loading player...
Habari yako karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya June 28,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado.
🔸Zifuatazo ni Mahada za habari.
Nyusi anasisitiza ahadi ya kumaliza ugaidi huko Cabo.
🔸Matunda ya uhuru hayafurai anatambua gavana wa Cabo Delgado.
🔸Agizo la Frelimo linataka umoja wa wasumbiji kumaliza ugaidi huko Cabo Delgado.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766.
Kisha uchague lugha yako kati ya kireno, Emakwa, shimakonde, kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.