Sauti Ya Cabo Delgado Kiswahili 29.06.2021
Loading player...
Habari yako karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya June,29, 2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Wanajeshi wa Ruanda wanaweza kuja Cabo Delgado kupambana na magaidi.
🔸Magaidi huwateka nyara wavuvi wawili baada ya shambulio huko Palma.
🔸Halmashauri ya jiji la pemba yaribu vibanda vilivyojengwa kwenye barabara ya ANE Chuiba.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno, Emakwa, shimakonde, kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.