Sauti Ya Cabo Delgado 30.06.2021
Loading player...
Habari yako karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya June 30,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Euro milioni 10 zimeshikiliwa na SADC kwa kupanbana na ugaidi huko Cabo Delgado.
🔸Makamu wa Rais yoko Cabo Delgado hili kujua Hali ya kibinadamu.
🔸Kampuni ya mitsui yatoa tani 156 za Michele kwa watu waliokimbia makazi yao kutokana na mashambulio huko Cabo Delgado.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.