Sauti Ya Cabo Delgado 01.07.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya July 01,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Dola milioni 100 zimetolewa kwa misada ya kibinadamu kaskazini mwa nchi.
🔸Kuna wale ambao hufaidika Na mamilioni yaliotolewa kwa ajili ya misada ya kibinadamu huko Cabo Delgado anasema msimamizi wa Dayosisi ya pemba.
🔸Ripoti Lya hivi caribuni Lya Cabo Ligado linapatikana.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843286766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.