Sauti Ya Cabo Delgado 05.07.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Julai 05 2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Kuna ushirika mkubwa wa wanawake katika vitendo vya kigaidi huko Cabo Delgado, vikosi vya serekali vinasema.
🔸Huko Nangade,idade ya watu waliokimbia makazi yao inaongezeka,Na kufanya msaada kuwa mgumu zaidi.
🔸Ndege ya kibinadamu ya umoja wa ulaya yafika pemba.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno, Emakwa, shimakonde, kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.