Sauti Ya Cabo Delgado07.07.2021
Loading player...
Hari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Julai 07, 2021, sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari
🔸Magaidi wanajaribu kuchukua kambi ya total huko palma.
🔸Serikali ya Cabo Delgado Ina wasiwawasi ya kotofuata kanuni za kupambana na covid_19 katika jiji la pemba.
🔸Vikosi vya ulinzi viliwaokoa zaidi ya wanawake 100 ambao waliokuwa mikononi mwa magaidi.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno,Emakwa, shimakonde, kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako