Sauti Ya Cabo Delgado 08.07.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Julai 08,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Wakimbizi kutoka Cabo Delgado wanalalamika juu ya dhuruma huko corane.
🔸Vikosi vya ureno vinatoa karibuni tani 12 za bidha kwa watu waliohamishwa kutoka kwa mashambulio huko Cabo Delgado.
🔸Msumbiji yasaini makubaliano ya kuajiriwa kwa wahanga wadogo wa mashambulio ya kigaidi.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +25884328566.kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.