Sauti Ya Cabo Delgado 09.07.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Julai 09,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa Na Plural Media kwa kushirikiana Na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Watu wengine wawili waliokufa waligundulika huko Muidumbe.
🔸Maelfu ya watu wanaendelea kukimbia mzozo huko Cabo Delgado.
🔸Magaidi wanajaribu kuchukuwa tena Diaca,lakini vikosi vya ulinzi vinaitikia Na kushikilia msimamo wao.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno, Emakwa, shimakonde, kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.