Sauti Ya Cabo Delgado 12.07.20211
Loading player...
Habari yako, Karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Julai 12,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
🔸Kikosi cha SADC kinaelekeya huko Cabo Delgado, na wanaruanda tayari wamewasiri.
🔸Mawazir wa mambo ya nje wanakutana kutoa mwangazo wa kijani kwa mafunzo ya jeshi la msumbiji.
🔸Rais wa jamhuri atangaza kuwasili kwa wanajeshi wa Rwanda.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno, Emakwa, shimakonde,kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.