Sauti Ya Cabo Delgado 13.07.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya 13,07,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Wanajeshi wa Rwanda watarudi msumbiji baada ya kumaliza utume wao.
🔸Kikosi cha wanajeshi kimetajwa ndani ya SADC,anasema waziri wa ulinzi.
🔸Africa kusini anajuta kuwasili kwa wanajeshi wa Rwanda kabla ya msaada wa SADC.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno, Emakwa, shimakonde, kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.