Sauti Ya Cabo Delgado 15.07.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Julai 15,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Cabo Ligado Julai 5 Adi 11 anangazia uwepo wa wanajeshi wa Rwanda msumbiji.
🔸Cabo Delgado anapokea tani 50 za bidha kusaidia watu waliokimbia makazi yao.
🔸Usomi umetolewa kwa wanafunzi kutoka majimbo ya Cabo Delgado, Nampula na Niassa
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.