Sauti Ya Cabo Delgado 20.07.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Julai 20,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Ujumbe wa jeshi la Rwanda unakusudia kulinda masilahi ya kampuni ya Total,inazingatia mtafiti katika OMR. Joao Feijo.
🔸Rais wa ureno atoa Euro 30.000 kwa wahanga wa ugaidi kaskazini mwa msumbiji.
🔸Mashariti ya fursa ya kusaidia Familia kwa wahasiriwa wa shambulio la wakimbizi katika wilaya ya montepuez.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.