Sauti Ya Cabo Delgado 26.07.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Julai 26,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari yako.
🔸Serekali ya msumbiji inathibitisha kuanza kwa kwasili kwa kikosi cha SADC.
🔸Ujumbe wa kijeshi wa SADC umeidhinishwa kuanza shuguli nchini msumbiji.
🔸Mashambulizi ya kigaidi yanaendelea katika mkoa wa Cabo Delgado kwa kuimarishwa kwa vikosi vya kigeni Ripoti Cabo Ligado.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.