Sauti Ya Cabo Delgado 28.07.2021
Loading player...
Habari yako, Karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Julai 28,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado .
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Hakuna mtu alyomba msumbiji thawabu ya kupambana na ugaidi anasema Filipe Nyusi.
🔸Askofu wa pemba anaonya juu ya kuundwa kwa tasnia ya mateso huko Cabo Delgado.
🔸Butswana hutuma vikosi rasmi msumbiji.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +25884325766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno, Emakwa, shimakonde, kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.