Sauti Ya Cabo Delgado 02.08.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Agosti 02.2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Vikosi vya msumbiji na Rwanda wanaendelea na kuua watu wanahoshukiwa kuwa magaidi huko Nangade.
🔸Zimbabwe yatangaza kupelekwa kwa wanajeshi kupambana na ugaidi huko Cabo Delgado.
🔸Ripoti ya Cabo Ligado inaangazia kuendelea kwa mashambulio ya kigaidi licha ya kosonga mbele kwa vikosi vya msumbiji na Rwanda huko Cabo Delgado.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber 258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.