Sauti Ya Cabo Delgado 06.08.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Agosti 06.2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Vikosi vya pamoja vinapambana kushinda kijiji cha Mocimboa.
🔸Shirika la Uhispania linatoa Euro 100.000 kwa watu waliohamishwa katika wilaya ya Mecufe.
🔸Ripoti inapatikana kutoka wiki ya Julai 26 hadi Agasti 01
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.