Sauti Ya Cabo Delgado 09.08.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Agosti 09.2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Vikosi vya Rwanda na msumbiji kuponya mocimboa da Praia.
🔸Kikosi cha wanyeji huko Mueda tayari kinafanya kazi na kikosi cha pamoja cha msumbiji na Rwanda.
🔸Nku wa inchi anatembelea nafasi za FDS kutathmini utayari katika mapambano dhidi ya ugaidi huko Cabo Delgado.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno, Emakwa, shimakonde,kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.