Sauti Ya Cabo Delgado 16.08.2021
Loading player...
Habari yako, Karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Agosti 16.2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Huduma za simu zinaweza kuanzisha tena wiki hii katika kijiji cha Mocimboa da Praia.
🔸Makao makuu ya wilaya ya Quissanga pia yanaonyesha ishara za uharibifu bada ya mashambulio.
🔸Serikal yaahidi kusafisha barabara ya Muepane_Metuge.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber
+258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako