Sauti Ya Cabo Delgado 20.08.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Agosti 20.2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Vikosi vya SADC vinaanza kuchukua hatua hivi karibuni,anakikishia waziri wa ulinzi wa kitaifa .
🔸Mkurugenzi mku wa OIM anasema msaada wa kifedha wa kimataifa unaitajika haraka ili kupunguza mateso ya wakimbizi huko Cabo Delgado.
🔸Hakuna njia ya mazungumzo Na magaidi anasema gavana wa Cabo Delgado.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.