Sauti Ya Cabo Delgado 24.08.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Agosti 24.2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Kuna utulivu katika wilaya ya Nangade baada ya mashambulio ya harakati za kigaidi.
🔸Katibu mkuu wa ONU anadai kwa mara nyingine tena,njia ya kiupambele kwa hali hiyo huko Cabo Delgado.
🔸Cabo Delgado inachanja watu 199.000 dhidi ya janga la covid_19.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber + 258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.