Sauti Ya Cabo Delgado 25.08.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Agosti 25.2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Kupambana na ugaidi huku Cabo Delgado vikosi vya pamoja viua magaidi 11.
🔸Wanajeshi yaokoa zaidi ya watu 100 baada ya kushambulia kituo cha kigaidi huko Mbau.
🔸Waziri wa Rasilimali ya madini na nishati anaahidi hivi karibuni kuwa na umeme kaskazini mwa Cabo Delgado.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.