Sauti Ya Cabo Delgado 26.08.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya Agosti 26 2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Wandishi wa habari wa Cabo Delgado wanalalamika kuwa ni ngumu kufichua vitendo juu ya mashambulio.
🔸Walikamata magaidi wanaodaiwa kuwa 8 katika pwani ya wilaya ya Macomia.
🔸Kuna familia zilizohamishwa na njaa katika jiji la pemba.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno, Emakwa, shimakonde,kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako