Sauti Ya Cabo Delgado13.09.2021
Loading player...
Habari yako,karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya seteptmber 13.2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Cabo Ligado anangazia ugumu wa wanawake waliohamisha kupata chakula cha PMA.
🔸Jumuiya ya 3 de fevereiro uko mecufe itakuwa na uzazi ndani ya miezi minne.
🔸Makao makuu ya Palma bado ayana huduma za afya licha ya watu kurudi.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.