Sauti Ya Cabo Delgado 21.09.2021
Loading player...
Habari yako,karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya seteptmber 21.2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Kamanda mkuu wa Police anasema kuwa waliohamishwa sasa wanaweza kurudi Quissanga.
🔸Serikal inawekeza milioni 21 kuchukuwa nafasi ya nishati huko Cabo Delgado.
🔸Gavana wa Cabo Delgado anataka viongozi zaidi wa kuangalia katika ujumbe dhidi ya covid=19.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +25884328766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.