Sauti Ya Cabo Delgado 05.11.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya November 05,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Jeshi ni bado ni tishio kwa raia huko Cabo Delgado inabainisha Cabo Ligado.
🔸Wanafunzi waliohamishwa watachunguzwa,inamhakikishia waziri wa elimo na maendeleo ya binadamu.
🔸Ujumbe wa mafunzo ya kijeshi wa FDS wa msumbiji ili kukabiliana na ugaidi ulizinduliwa na umoja wa Ulaya.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber + 258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.