Sauti Ya Cabo Delgado 09.11.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya November 09,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Magaidi watatu walikamatwa wilayani Muidumbe.
🔸Wavuvi wa Cabo Delgado watachunguzwa huko Inhambane.
🔸Wizara ya mambo ya ndani inataka police kuwa makini zaidi kwa vituo vya watu waliohamisha makazi yao.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +28843285766, kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.