Sauti Ya Cabo Delgado 10.11.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya November 10,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Zaidi ya magaidi 100 waliuawa huko Cabo Delgado kwa Msaada wa vykosi vya Rwanda.
🔸Visa vya maleria vinaongeze katika jimbo la Cabo Delgado.
🔸Mpango wa mjasiriamali Mmoja, shule moja ulizinduliwa huko Cabo Delgado.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +258843285766 , kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.