Sauti Ya Cabo Delgado 12.11.2021
Loading player...
Habari yako,karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya November 12,2021 sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Magaidi walipigwa risasi huko Nangade na Palma baada ya kushambulia vijiji vinne.
🔸Mwanajeshi ampiga mwananchi wilayani Nangade.
🔸Cabo Delgado inahitaji kuimarishuwa kwa ili kukabiliana na msimu wa sherehe.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe namber +2588328766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako.