Sauti Ya Cabo Delgado 15.11.2021
Loading player...
Habari yako, karibu kwenye simulizi ya sauti ya Cabo Delgado ya November 15.2021,sauti ya Cabo Delgado ni nafasi ya habari iliyopewa mkoa wa Cabo Delgado ilyotengenezwa na Plural Media kwa kushirikiana na mradi wa Cabo Ligado.
Zifuatazo ni Mahada za habari.
🔸Magaidi washambulia tena Macomia na Mueda.
🔸Cabo Delgado itazalisha zaidi ya tani milioni moja katika kampuni ya kilimo ya 2021 _2022.
🔸Jeshi la SADC laharibu kambi nyingine tena ya magaidi huko Cabo Delgado.
Endelea kupata habari za mkoa wa Cabo Delgado kupitia kurasa zetu za Facebook telegram na program yoyote ya podcast.
Pokea habari kila siku kwenye WhatsApp kwa kutuma ujumbe +258843285766 kisha uchague lugha yako kati ya kireno Emakwa shimakonde kimuane au kiswahili.
Plural Media habari kwa lugha yako